Lemutuz Aishauri Serekali Kulipa Wafanyakazi Kila Week Kama Ulaya..Badala ya Kila Mwezi

Ubuyu Kutoka Instagram Leo tunaruka na Supastaa William Malecela a.k.a Lemutuz...Leo Amewashukia Serekali na Kuwa Ushauri :
"LE MUTUZ NATION LIVE STRAIGHT TALK:- Morning People it is about time now Serikali ikaweka Sheria ya kuwalipa mshahara wafanyakazi kwa wiki badala ya mwisho wa mwezi kama ilivyo sasa haiko sawa cause nchi zote zilizoendelea Duniani watu wake hulipwa kwa wiki na ndio hasa maana ya MICRO ECONOMY.....kazi ya Serikali ni kukusanya Kodi tu now ukiwalipa watu kila Ijumaa ni guarantee by Jumatatu 95% ya ile pesa itakuwa imerudi Serikalini kwa sababu ukishawajenga watu kuamini mshahara upo kila Ijumaa you are creating Consumer's Confidence ambayo ndio number One key to any economic growth..............ama.sivyo unacreate uchumi kama tulionao wa kukimbia mwisho wa mwezi siku za mishahara na kusimama mwezi mzima mpaka mwisho wa mwezi tena Serikali inakusanya big kodi mwisho wa mwezi halafu inapumzika mpaka mwisho waa mwezi tena............Wazungu wanasema INSANITY ni kurudia njia ile ile na kutegemea matokeo tofauti kama hatuwezi kubadili mambo madogo madogo kama namna ya kulipana mshahara tutaendelea kurudi kinyume nyume kama tulivyo now ili kukimbiza Uchumi lazima mishahara ilipwe mwisho wa.wiki na kuwepo na mfumo rahisi wa kukopa na kurudisha benki! I was just thinking aloud! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA!' - le Mutuz

Je Unauonaje Huo Ushauri Kutoka Kwa Lemutuz?

Post a Comment

Previous Post Next Post