Huyu kijana amekamatwa leo Clouds, kwa kosa la kutapeli watu
mbalimbali kwa kutumia majina ya wafanyakazi wa Clouds akiwemo Ruge
Mutahaba na kujifanya yeye ndio kiongozi wa idara ya muziki ya Clouds fm
na kuwatapeli wasanii chipukizi kwa kuomba rushwa ya hela ili nyimbo
zao zichezwe redioni-Credit Musike Corner Blog
LUGE MUTAHABA FEKI AKAMATWA AKIWATAPELI WATU MBALIMBALI SOMA HAPA
Hisia
0

إرسال تعليق