
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Karatu kwenye uwanja wa mikutano wa Mazingira Bora.
Katibu Mkuu yupo
kwenye ziara ya kujenga na kukiimarisha Chama mkoa wa Arusha pamoja na
kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.
Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Karatu mjini na
kuwaambia wapinzani muda wao umekwisha Karatu mjini kwani hamna
walichofanya kwa zaidi ya miaka 15 waliyokaa madarakani.
Mkuu wa mkoa wa
Arusha akiwa haamini macho yake jinsi wananchi wa Karatu wanavyojitokeza
kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM.
Wananchi wa Karatu wakishangilia kwa nguvu mkutano wa CCM
Wingi huu wa watu wanaashiria kuwa na matumaini na CCM zaidi mjini Karatu
Wananchi wa
Kijiji cha Mang'ola wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana ,ambapo walimpa malamikoyao juu ya uongozi wao kufanya maamuzi
bila kushirikisha wananchi,kubuni miradi hewa na kula fedha.
Wananchi wa Kijiji cha Mang'ola wilaya ya Karatu wakionyesha ishara za kukubaliana na Katibu Mkuu wa CCM.
Wananchi wakiwa juu ya mti ili waweze kumuona vizuri Katibu Mkuu wa CCM wilaya ya Karatu kijiji cha Mang'ola.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na wananchi kuelekea kwenye
mkutano wa hadhara kijiji cha Mang'ola wilaya ya Karatu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishirki kupanda vitunguu pamoja na wananchi katika shamaba la Mang'ola Barazani.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiondoka kwenye maeneo ya Mang'ola
barazani mara baada ya kutemebelea miundo mbinu ya umwagiliaji ambayo
imelalamikiwa na wananchi hao kwa kuwa ni mibovu na haiwasaidii wananchi
hao.
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi kutoka Chadema kata ya Baray wilaya ya Karatu Juliana Israel akitangaza kujiunga na CCM.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishirikiujenzi wa chumba cha upasuaji
katika kituo cha afya cha Mbuga Nyekundu kata ya Baray.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa kata ya Baray
Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Baray wilaya ya Karatu
Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Arusha Flora Lazari Zelothe akisalimia wananchi wa kata ya Baray
Wananchi wa Karatu wakionyesha kufurahia ujio wa Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana.
إرسال تعليق