MODO maarufu Bongo, Agness Gerad ‘Masogange’
ameshtushwa na ushindi wa makalio yake baada ya kutojua kama ametajwa
kuwa ni mwanamke mwenye makalio mazuri Afrika Mashariki.
Modo maarufu Bongo, Agness Gerad ‘Masogange’.
Masogange alishinda nafasi hiyo kupitia utafiti uliofanywa na mtandao
wa Media Take Out ambapo kwa kutumia vigezo vyao, walimwanika Masogange
kuwa ndiye mwanamke pekee mwenye makalio bomba wakidai amejengeka
vizuri zaidi.
“Daah! Mimi mwenyewe nilikuwa sijui, nashukuru kama wao wameona mimi ndiyo mwenye kiungo hicho muhimu cha kuvutia na bora kwa wanawake wengine wote,” alisema Masogange ambaye kwa sasa amehamishia makazi yake nchini Afrika Kusini.

إرسال تعليق