Hapa
ndipo maji hayo yanapotoka ni chemba ambayo imepasuka muda mfupi
uliopita lakini maji yake ni mengi kiasi kwamba yanaleta shida kubwa
katika maeneo haya
|
Unaweza
ukadhani kama hapa kuna mvua kuibwa sana ya mafuriko katika eneo hili
lakisi sio kweli,hapa ni Dar es salaam sinza eneo la africasana ambapo
moja ya chemba za maji ipepasuka mchama huu karibu kabisa na makazi na
maduka ya watu,hali ya kiafya katika meeneo haya ni mbaya na maeneo
makubwa sana yapetapakaa maji machafu na watu imebidi wakimbie maeneo
yao ya kazi ili kukwepa adha hii kubwa,msaada wa haraka unahitajika
kutoka kwa viongozi wa maeneo haya,ni karibu kabisa na kituo cha
daladala cha sinza africasana lakini maji yametapakaa hadi maeneo ya
bamaga kukizunguka chuo cha ustawi wa jamii hapa bamaga,wananchi
wanaomba msaada waharaka ili kuokoa afya zao pamoja na hali ingine. Kama
Mnavyoona maji nji mengi kiasi kwamba hadi magari sasa yanaanza kupata
matatizo katika barabara hiyo kutokana na wingi wa maji hayo. | |
|
|
Post a Comment