KALOLI
Dawa ambaye ni mume wa mtu, amedaiwa kujipiga picha za utupu akiwa na
mchepuko wake uliofahamika kwa jina moja la Irene kisha kusambaa
mitandaoni.Picha za wawili hao wenyeji wa Wilaya ya Lamadi, mkoani
Simiyu zimedaiwa kuvuja mara baada ya rafiki wa Irene kuziiba kwenye
‘laptop’ ya Kaloli na kuzisambaza mtandaoni.
mume wa mtu huyo akiwa na mchepuko.
Imedaiwa kuwa rafiki wa Irene ambaye jina lake halikupatikana mara
moja, alizivujisha picha hizo baada ya kugombana na Irene.Imeelezwa
kuwa, vijana hao ni watoto wa wafanyabiashara wakubwa hivyo kitendo cha
kusambaa picha hizo kimewasononesha.
Mwanahabari wetu aliwatafuta wahusika hao kwa njia ya simu. Irene
simu yake haikuwa hewani lakini Kaloli alipatikana na
kufunguka:Mwandishi: Habari? Unazungumza na mwandishi wa Global
Publishers, nazungumza na Kaloli?
Kaloli: Ndiyo mimi.
Kaloli: Ndiyo mimi.
Mwandishi: Tunazo picha zako hapo ukiwa uchi wewe na mpenzi wako Irene.
Kaloli: Mmezipataje hizo picha? Mwandishi: Picha zimetapakaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kaloli: ‘Plizi’ naomba usitoe hiyo habari.
Kaloli: Mmezipataje hizo picha? Mwandishi: Picha zimetapakaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kaloli: ‘Plizi’ naomba usitoe hiyo habari.
Mwanahabari wetu alikwenda mbali zaidi kwa kumtafuta mzazi wa Kaloli,
Mzee Kaloli kumsikia anazungumziaje tukio hilo.“Ni kweli nimeziona hizo
picha yaani ni aibu sana kwangu maana mimi ni mtu na heshima zangu na
nimeshamkanya mara kadhaa mwanangu aachane na huyo Irene lakini hata
hasikii.
“Asiyesikia
la wazazi atafunzwa na ulimwengu nimeshaongea sana na Kaloli atulie na
mkewe na hata huyo Irene mbona king’ang’anizi hivyo wakati mwanangu ana
mke wake tena ana mtoto mdogo? Wataniua kabla ya umri wangu nimechoka
na tabia za Kaloli ananitia aibu,” alisema Mzee Kaloli.
Post a Comment