NEWS: FID Q (@FidQ) aeleza sababu za video ya BONGO HIP-HOP kuzuiliwa kwenye account ya Dir NISHER

Kama Umeifuatilia na kuiangali Video ya Fid Q Bongo Hip-Hop Kupitia Account ya Director Nisher kwenye Youtube Basi utakuwa Shahidi kuwa Video hiyo Iliondolewa na Wamiliki wa YouTube Kitu ambacho watu wamekitafsiri Tofauti.
Taarifa za Mtaani watu wamesema eti Imefungiwa na Kampuni Flani South Africa baada ya Nisher kucopy Vitu flani kwenye Video yao.
Fid Q amefunguka ukweli kupitia Kipindi cha DUNDO cha MamboJamboRadio Arusha na kusema kuwa sababu za Video hiyo Kutolewa ni sababu yeye Fid Q amejiandikisha kabisa na anatambulika ndani ya YouTube na kuilinda Hatimiliki ya Fid Q Wao kama Youtube Wameiondoa wakidhani kuwa Nisher ni Mdananda wakati wao Wameshamuuliza Fid Q kama Video aliyoipost kwenye Account yake ya Cheusi Dawa Ni yeye na alivyowajibu ndipo Wakafungia ya Nisher bila wao Kujua kama Nisher pia anahusika kwenye HatiMiliki ya hiyo Video akiwa kama Director.
Hiyo ndiyo sababu Fid Q alomweleza @DjHaazu kuwa ndiyo issue iliyopelekea Video hiyo Kuzuiliwa kwa Masaa Kadhaa kupitia account ya Nisher

MSIKILIZE FID Q KWA KU-CLICK LINK HII>>> http://hu.lk/4q7wvj3rwxvk

Hii hapa ni Link ya kuitazama Video hiyo kwenye Account ya Fid Q CHEUSI DAWA>>>. https://www.youtube.com/watch?v=PSy-U59yahU 

Post a Comment

أحدث أقدم