Alikiba na timu yake kutoka label ya Rockstar4000 wameitembelea mbuga ya
wanyama ya sita kwa ukubwa nchini ya Tarangire, iliyopo mkoani Manyara.
Muimbaji huyo wa ‘Mwana’ aliyekuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza
kwenye tamasha la Sauti za Busara mwaka huu, amepost picha kadhaa
akijiachia kwenye viota vya starehe vilivyopo kwenye mbuga hiyo ikiwa na
pamoja na selfie kadhaa na wanyama.
Alikiba akiwa na timu yake akiwemo Director of Talent and Music Pan Africa – Rockstar 4000 / Sony Music Africa, Seven Mosha kushoto kwake
Haijulikani iwapo ameenda kutalii tu au kuna kazi inaendelea huko lakini
picha zake amekuwa akiziambatanisha na hashtag #chekechacheketua
ikiashiria kitu kipya kutoka kwake.
Bata Batani
إرسال تعليق