Mkurugenzi
mkuu wa kampuni ya Triple A LTD na Mfanyabiashara wa Jijini Arusha,
Papaa King Mollel (kulia) akimkabidhi pikipiki kwa aliyekuwa mkuu wa
wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga ambaye kwa sasa ni
Mkuu wa Wilaya ya Moshi mjini kwa ajili ya kusaidia na kurahisisha
shughuli za maendeleo katika kata ya KIA wilayani Hai mkoani Kilimanjaro
. Hafla hiyo ilifanyika jana Sakina jijini Arusha.
Mkurugenzi mkuu wa kampuni
ya Triple A LTD na Mfanyabiashara wa Jijini Arusha, Papaa King Mollel
(kulia) akikabidhi kadi ya pikipiki hiyo kwa Mkuu huyo wa Wilaya.
Viongozi
mbalimbali wa kata ya KIA wakishuhudia mkurugenzi mkuu wa Triple A LTD
Papa King Mollel akimkabidhi pikipiki aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai
Novatus Makunga kwa ajili ya kuchangia na kusaidia shughuli za
maendeleo ya kata ya KIA.

إرسال تعليق