Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa
heshima za
mwisho kwa mwili wa
marehemu Kapteni John Komba mbunge wa jimbo la Mbinga
Magharibi katika viwanja
vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kapteni
Komba anatarajiwa kuzikwa
kijijini Kwake Lituhi wilaya ya Nyasa Mkoani
Ruvuma.
|
Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji
mjane wa marehemu Salome
Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam leo(picha na
Freddy Maro
|
إرسال تعليق