
Rais Jakaya Kikwete leo amewaongoza viongozi wa serikali, viongozi wa kisiasa na mamia ya watanzania waliojitokeza kuuzika mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba Kijijini Lituhi Leo
Askofu
wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada
ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni
John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika
kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma leo.(picha na Freddy
Maro).
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka udongo
katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni
John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika
kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa ,Mkoani Ruvuma.
Post a Comment