Ziko njiani zaja mwezi ujao tu
Kampuni
ya Apple imezindua saa ya kisasa ambayo inauwezo wa kupiga simu,kupokea
barua pepe,kucheza muziki na kufuatilia masuala ya afya na mazoezi.
Kampuni
ya Apple Inc itaanza kuuza saa zake mpya mnamo mwezi April 24 mwaka
huu, na bei ya kuanzia sokoni itakuwa dola 10,000 ama paundi 6,611 na
bidhaa yake ya kwanza ghali ilitolewa miaka mitano iliyopita katika
malengo ya kuongeza wigo wa bidhaa zake hasa vifaa vya simu za mkononi.
Sasa
hiyo kutoka kampuni ya Apple ya kimichezo kwa zile ndogo zina milimita
thelathini na nane itauzwa kwa dola 349 na saa kubwa itauzwa kwa dola
549 na bidhaa ya mwisho itauzwa kwa dola elfu kumi ,hii ni kwa muujibu
wa Afisa mtendaji wa kampuni hiyo , Tim Cook said mapema wiki hii.

إرسال تعليق