Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoka eneo hilo baada ya kujionea athari zilizotokana na mafuriko hayo kwa wakati wa Buguruni kwa Mnyamani jijini Dar es Salaam, leo machi 23, 2015. Picha na OMR |
Makamu
wa Rais Dkt. Bilal, akiangalia mtaro wa maji machafu ambao
utaunganishwa na mabomba yatakayonyonya maji yaliyotuama katika eneo
hilo lililoathirika kwa mafuriko ya mvua. Picha na OMR
|
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza mkandalasi wa ujenzi wa mtaro wa kupitishia maji machafu wakati alipotembelea eneo la Buguruni kwa Mnyamani leo Machi 23, 2015 kwa ajili ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendele kunyesha jijini Dar es Salaam. Picha na OMR |
Post a Comment