VIDEO | BABY MADAHA: Watu wengi wanajua mimi MSAGAJI kwasababu hawamjui MPENZI WANGU

Msanii wa kike nchini anayejulikana kwa jina la Baby Madaha usiku wa kuamki leo tarehe 11 March wakati anahojiwa na kipindi cha GENGE, amekanusha uvumi unaoendelea kwa watu fulani kumuhisi kama yeye MSAGAJI.
Madaha alikuja studio za E FM 93.7 huku ameongozana na rafiki yake BELLA, swali likaja kwanini Baby Madaha yupo karibu sana na msanii mwenzake Bella..? jibu likawa ya kwamba watu wengi hawamjui mpenzi wa Baby Madaha na ndio maana wanamuhisi kuwa yeye na Bella wanasaga.
Itizame hapa chini video fupi niliyowachukulia wadau wangu…

Post a Comment

أحدث أقدم