Wabunge
wa Tanzania wanaowakilisha katika Bunge la Afrika (Pan Afican
Parliament), Mhe. Eng. Hamad Masauni (Kikwajuni) na Mhe. Luhaga Mpina
(Kisesa) pamoja wabunge wenzao wakiwa makini kwenye Bunge la Afrika
linaloendelea huko makao makuu ya Bunge hilo, Midrand, Afrika ya Kusini
إرسال تعليق