MWIGIZAJI Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na
mtanashati wa Bongo Movies, Hemed Suleiman ‘PhD’ wamekutana katika
kushuti muvi moja inayokwenda kwa jina la ‘MAPENZI YAMEROGWA’, kazi
ambayo inaendelea kwa umakini katika maeneo ya Kinondoni jijini Dar es
Salaam.
Kwa mujibu wa Wema, filamu hiyo ambayo pamoja na waigizaji wengine,
imemshirikisha pia mwigizaji maarufu, Neema, itaonyesha ni jinsi gani
mapenzi yanavyowachanganya wahusika
إرسال تعليق