Nilitegemea kwamba wapinzani wataenda katika uchaguzi wakiwa kitu
kimoja na imeanza kudhihirika wazi kwamba inawezekana UKAWA haukuwa
mpango wa Chadema kujenga upinzani wenye nguvu, bali ni mpango uliosukwa
kiutaalamu ili chama cha chyadeema kupambana na Zitto.
Ifuatayo ni sauti ya Mr John akimshambulia Bwana Zitto
Clik link hiyo chini

Post a Comment