Kijana mmoja kwa jina ADAM MANONDO mkazi wa Sakina
auwawa kikatili huko Arusha jioni hii baada ya kufumaniwa akimla mke wa
mtu kwenye gari. Mama huyo ni
mke wa mmiliki wa baa moja maarufu jijini
Arusha (jina kapuni kwa sasa) na gari walilokuwa wakitumia aina ya VOXY
ni la mama huyo.
إرسال تعليق