Hayati
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa
Tanganyika na Zanzibar kama ishara rasmi ya kuunganisha nchi hizo mbili
miaka 51 iliyopita. Hisia za Mwananchi inaungana na Watanzania duniani kote kusherehekea siku hii adhimu kwa kuwatakia Happy Muungano Day!
Hayati Mwalimu Julius Nyerere (kushoto) na Sheikh Abeid Aman Karume wakibadilishana hati za muungano.
إرسال تعليق