Kanye West ni
rapper ambae ana story nyingi za aina ya pekeake, unakumbuka ile story
yake kugoma kabisa kutabasamu mbele ya camera za red carpet?
Safari hii kapiga show Armenia, kwanza show yenyewe ilikuwa ya bure kabisa..
Jamaa akapiga show yake kali kabisa..
show ikanoga akajitupa kwenye maji ya ziwa huku anaendelea kuimba.. fans
nao wakajitosa kwenye maji kumfuata.. Police na walinzi wake ilibidi
nao waingine ili kumtoa jamaa na kuhakikisha usalama wake.
إرسال تعليق