![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNd2wgy0ps2moF488rMdIz_t7DIBJoH5-LGEB9T0-m7ythECO5sZMOsaPQxdonK6XV2tF0YkZQIH-BUIovQxR60lBUueXke0hI3EKYiOoDSp0iLrgfoO887G1c6cdxJwlBRdjDjsYH_yw/s1600/we-his.jpg)
Ningekuwa
na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But sina... Na
siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.... Au mngependa niwe nawaambia jinsi
ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe... Is dat
wat u want...? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi
nitangaze... Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya
mtoto������... Kumbukeni na mimi pia ni binaadam... Nina moyo kama
nyie... Au mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito
alafu mimi sina hata wa kusingiziwa... Mnaona nafurahia sio.... Hivi mna
nini jamani... Yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people
jus come from nowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa
nafsi hadi mtu unakaa unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu... Kwani
kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashif na kunitolea maneno
mazito namna hio... Kisa mtoto... Mnadhani naipenda hii hali... Hata
mimi natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho.... So
mnadhani sijui kama umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi
anytime we die... Mnafikiria nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku
ndo Mungu anasema ananichukua... Hata mimi natamani ningekuwa napiga
picha niko na mwanangu... I want dat with all my life but I cant....
Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni kitu gani
kaniandikia... But just dont rub it in... It hurts... And im jus a human
being like each and everyone of u.... ������
إرسال تعليق