Listen/Download | NEW AUDIO: Hisia (@Hisiatz) – Keep You Warm

Baada ya kutoa gimme a call ambayo ilipata kumtengenezea international platform nzuri ikiwa ni pamoja na kuingia kwenye mitandao ya vevo na dailimotion,pamoja na kuwa msanii wa kwanza kabisa kutoka East Africa kuwa featured kwenye website ya yahoo Hisia anarudi tena na wimbo mpya kwaajili ya fans wake ikiwa ni fusion ya reggae,soul na rnb “Keep You Warm”,we hope all of you will enjoy this as much as we did
Kwa mawasiliano/interviews/ bookings wasiliana nasi kupitia +255787276352,+255754201643
bookings.hisia@gmail.com
#goodmusicforgoodpeople

#crossingborderswithmusic
John Blass Mallya (John B)

Post a Comment

أحدث أقدم