Mtoto
Eli Thompson ambaye alizaliwa March 4th katika Hospital ya Alabama
akiwa hana pua. Cha ajabu na kushwangaza mtoto huyu mara baada ya
kuazaliwa tu alianza kupumulia mdomo, Mama wa mtoto huyu Brandi
McGlathery, alisema alijua mtoto wake amezaliwa huku kitu kikiwa hakika
sawa katika mwili wa mwanae
Kwa
mujibu wa mama huyu anasema hali aliyonayo mwanae yeye anaona yuko
sawa, madaktari nao wanasema halii hii huathiri karibu watu 40 kukosa
viungo vyote vya mwili pindi wanapozaliwa.
Huyu anahitaji maombezi yenu wadau fanya Kutype Ameni chini kwenye comment box maombi yako yatamfikia.


إرسال تعليق