Ishu ya mke wa msanii Mabeste
kuugua imesikika muda mrefu.. labda kuna wengine wamesahau juu ya hii..
aliwahi kusikika kwenye exclusive interview na AMPLIFAYA kwamba ishu ya
kuumwa kwa mkewe ilifanya asimame hata kufanya muziki kwa muda mrefu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo msanii Mabeste
ameelezea mengi kuhusu hali ya mke wake ilivyo na matibabu anayotakiwa
kupatiwa.. kwa sasa anahitaji sana msaada wa watu wote ili mke wake
aweze kutibiwa.
Post a Comment