Mabeste leo kaandika kuhusu ugunjwa wa mkewe.. anahitaji msaada wako pia

Ishu ya mke wa msanii Mabeste kuugua imesikika muda mrefu.. labda kuna wengine wamesahau juu ya hii.. aliwahi kusikika kwenye exclusive interview na AMPLIFAYA kwamba ishu ya kuumwa kwa mkewe ilifanya asimame hata kufanya muziki kwa muda mrefu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo msanii Mabeste ameelezea mengi kuhusu hali ya mke wake ilivyo na matibabu anayotakiwa kupatiwa.. kwa sasa anahitaji sana msaada wa watu wote ili mke wake aweze kutibiwa.

Post a Comment

أحدث أقدم