Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa
salamu zake kwenye sherehe za miaka 51 ya muungano ambazo ziliandaliwa
na jumuiya ya watanzania wanaoishi katika Falme za kiarabu (UAE)
.Sherehe hizo zimefanyika leo Jumamosi ya mkesha wa kuamkia tarehe 26
siku ya muungano, katika hoteli ya Shangrila mjini Dubai
Mhe Lowassa katika mkesha wa sherehe za miaka 51 ya muungano mjini Dubai
Hisia
0
إرسال تعليق