Mkurugenzi
wa Habari wa Tone Multimedia Group na Msimamizi Mkuu wa Mbeya yetu Blog
Bw. Joseph Mwaisango akiwa Katika Hospitali ya Rufaa jijini Mbeya
akipata Matibabu ambapo amelazwa kwa siku Kadhaa, Pembeni ni Mke na
Ndugu zake wakiwa wanampa Pole.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa wamefika kumtanzama Bw. Joseph Mwaisango.
Mkurugenzi
wa Habari wa Tone Multimedia Group Ambao ni wamiliki wa Blogs za Mikoa
Tanzania na Mbeya yetu ikiwa Ndani yake Bwana Joseph Mwaisango, Amelazwa
katika Hospitali ya Rufaa kwa Matibabu zaidi kwa siku kadhaa sasa. Kwa
sasa anaendelea vizuri ingawa bado yupo anaendelea na matibabu
Hospitali.
Timu
Nzima ya Tone Multimedia Group tukiwa pamoja na wasomaji wetu wote
tunamuombea Bw. Joseph Mwaisango Apone Haraka ili arejee kuendelea na
ujenzi wa Taifa.
إرسال تعليق