Mnuso wa uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa wafana ndani ya hoteli ya White Sands


DSC_0351
Cake maalum iliyoandaliwa kwenye sherehe za uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa uliofanyika mwishoni mwa juma kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.
DSC_0354
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins kabla ya zoezi la kuwasha mishuma 70 kwenye cake hiyo ikiwa ni uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Kushoto ni Mshehereshaji wa sherehe hizo Afisa Habari wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Usia Nkhoma Ledama.
DSC_0382
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins wakiwa wamejumuika na wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa kwenye mnuso huo.
DSC_0361
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) akiwasha nakshi nakshi zilizowekwa kwenye cake maalum ya uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini. Anayemkingia upepo ni walioandaa Cake hiyo kutoka kampuni ya M.E Gift Wraps and Delivery huku Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins naye akijianda kufanya zoezi hilo.
DSC_0372
Wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini wakishiriki kuwasha mishumaa 70 iliyowekwa kwenye cake hiyo.
DSC_0380
IMG_0162
DSC_0388
Wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wakikata cake kwa niaba ya wafanyakazi wenzao.
DSC_0396
DSC_0404
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) akila kipande cha cake kwenye mnuso huo.
DSC_0407
Wafanyakazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania wakilishana cake kabla ya kupata chakula cha usiku wakati wa shamra shamra za uzinduzi wa miaka 70 ya Umoja wa Mataifa.
DSC_0412
Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu (kushoto) akibadilishana mawazo na wafanyakazi wenzake.
IMG_0172
Pichani juu na chini ni wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini wakijumuika kwenye chakula cha usiku wakati wa sherehe za uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa Tanzania.
IMG_0179
IMG_0188
IMG_0225
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akifuatiwa na Afisa Habari wa UNIC, Usia Nkhoma Ledama wakipakua chakula cha jioni kwenye mnuso huo.
IMG_0190
IMG_0193
Pichani juu na chini ni wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wakijisevia nyama choma ndani ya hoteli ya White Sands.
IMG_0220
IMG_0197
IMG_0202
IMG_0213
IMG_0207
IMG_0222
BAADA YA KUPATA BUFEE LA NGUVU ULIWADIA ULE WASAA WAKUFANYA DIGESTION YA CHAKULA KWA KUSAKATA RHUMBA…
IMG_0253
Wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wakisakta rhumba kwenye hafla ya uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini.
IMG_0303
Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wakionyesha ufundi wa kusakata rhumba kwenye mnuso huo.
DSC_0502
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (mwenye shati ya kijivu) naye hakubaki nyuma alionyesha umahiri wake.
DSC_0493
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins naye alionyesha ufundi wake kama anavyoonekana pichani.
DSC_0484
Usia Nkhoma Ledama naye akasema hata wasinichezee hawa…. akajibu mapigo.
DSC_0487
Burudani ikiendelea kwa furaha kabisa na amani.
DSC_0516
DSC_0529
DSC_0533
IMG_0325
Huku couple hii ikisakata Zouk rhumba.
IMG_0369
Mdogo mdogo ya Diamond nayo ilihusika.
DSC_0611
DSC_0629
DSC_0538
DSC_0564
DSC_0587
Mduara nao ulihusika.
DSC_0591
DSC_0594
DSC_0599
DSC_0606
DSC_0632
Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akiteta jambo na majaji wa shindano la kucheza muziki kwa wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wakati wa mnuso huo.
DSC_0041
Baadhi ya wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa walioingia fainali kwenye mashindano ya kucheza wakionyesha umahiri wao mbele ya majaji (hawapo pichani).
DSC_0022
Majaji wakiwa kwenye wakati mgumu wa kutafuta mshindi kwa washiriki.
DSC_0025
Pichani juu na chini ni mchuano ukiendelea kwa Top 3.
DSC_0026
DSC_0028
DSC_0039
Na huyu ndio aliibuka mshindi wa kwanza, pichani akionekana kutoka nje ya dancing floor na kuzunguka bustani nzima na couple yake huku wafanyakazi wenzao wakiwashangilia.
DSC_0075
Chief Judge Laurean Kiiza wa UNIC na timu yake ya majaji wakitangaza washindi.
DSC_0103
Mshindi wa kwanza akionyesha mbwembwe zake mbele ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez kabla ya zoezi la picha ya pamoja.
DSC_0108
Mratibu mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez katika picha ya pamoja na majaji pamoja na TOP 3 kwenye mashindano ya kusakata rhumba.
DSC_0114
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akiteta jambo na mmoja wa wanakamati wa shughuli hiyo Yona Samo wa UNDP mara baada ya kumalizika kwa sherehe hiyo iliyofungwa na shindano la muziki.

Post a Comment

Previous Post Next Post