Najua
wengi tungependa kushuhudia Tukio zima la Zari All white party na
naamini sio wote tunaweza kulipia elf 50.. Hivyo basi waweza tazama
tukio zima la Zari All White Party Live Kabisa kwa Shilingi Elf tatu tu!
ukiwa Nyumbani, Ofisini Ama Popote, kwa njia ya Simu yako ama
Computer.... Haya ni maelekezo kwa watu waishio Tanzania kwanza kisha
ntakuja kuwapa maelekezo ya watu wa Nje ya nchi ya Tanzania ni namna
gani wanaweza kununua Link hii waweze kutazama!
Jinsi ya kutuma malipo kwa simu
1. Piga *150*01# kwa TigoPesa, *150*00# kwa MPESA au *150*60# kwa AirtelMoney
2. Nenda namba 4 “Malipo” MPESA, “Lipa kwa MPESA” kwa TIGOPESA au“LipiaBili” kwa AirtelMoney
3. Chagua Namba ya Kampuni kwa MPESA na Tigopesa. Kwa AirtelMoney nenda kipengele “Nyinginezo”
4. Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 213040
5. Ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo ZARI AU ZWP
6. Ingiza kiasi cha TSH 3,000
7. Ingiza namba ya siri
8. Hakiki.
9. Utapokea ujumbe kwa sms ikiwa na code ya kuweka kwenye tovuti ili kuona tukio. Tovuti yetu ni www.zariwhiteparty.com

إرسال تعليق