RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MKUU WA WILAYA YA KYERWA MAREHEMU LUTENI KANALI BENEDICT KITENGA (MSTAAFU) LEO HOSPITALI KUU YA JESHI YA LUGALO, DAR ES SALAAM
Hisia0
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili
wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya
ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa
ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro.
Waziri
Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu
Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa
mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akifariji mjane wa marehemu baada ya
kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict
Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye
alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake
yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro.
Waziri
Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akifariji wana familia baada ya kutoa heshima
zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu)
aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika
kesho huko Morogoro. PICHA NA IKULU
Post a Comment