Rasmi:- Ney wa Mitego Kufunga Ndoa Kesho - Hiki Ndicho Alichokiandika Kuhusiana na Ndoa/Kufumania

Nimeamua kuoa kabisaa.. Kesho nitakua nafunga ndoa, huyu ndo mke wangu... Apa sasa ata nikifumania nitapigana mpaka mwisho๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ na nitakua na haki๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.. ubachela byeee
Kule sirudi tenaaaaa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Kwa niliowaalika karibuni I hope mtaenjoy... ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„


Post a Comment

Previous Post Next Post