STAA wa Bongo Movies, Zubery Mohamed ‘Niva’
amemuanika mpenzi wake wa sasa aliyemtambulisha kwa jina la Maisala na
kuweka bayana kwamba hahitaji tena mwanamke mwingine.
“Unajua mambo ya kurukaruka yana mwisho wake sasa nimeamua kutulia na mpenzi wangu huyu na Mungu akijaalia ndiye mke wangu mtarajiwa kwa kuwa nampenda na kumthamini toka ndani ya moyo wangu, mwingine nitakuwa namdanganya tu,” alisema Niva.
Staa wa Bongo Movies, Zubery Mohamed ‘Niva akiwa na mpenzi wake.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Niva alisema alifanya tathimini ya
kina na kuamua kutulia na mwanamke huyo kukwepa habari zile za
kurukaruka leo huyu kesho mwingine.“Unajua mambo ya kurukaruka yana mwisho wake sasa nimeamua kutulia na mpenzi wangu huyu na Mungu akijaalia ndiye mke wangu mtarajiwa kwa kuwa nampenda na kumthamini toka ndani ya moyo wangu, mwingine nitakuwa namdanganya tu,” alisema Niva.
Post a Comment