Mgeni rasmi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na refa
Mohammed kutoka Misri alipokua mgeni rasmi kwenye mechi ya Muungano kati
Zanzibar Heroes walipoiadhibu timu ya Bara kwa bao 7-1 mechi
iliyochezewa Capitol Heights, Maryland siku ya Jumamosi April 25, 2015
katika kuadhimisha miaka 51 ya sherehe ya Muungano zilizodhaminiwa na
PBZ
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu ya Zanzibar Heroes Dedi Luba.
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu ya Tanzania Bara Mude.
Timu ya Zanzibar
Timu ya Tanzania Bara
Mchezaji Dullah wa Zanzibar Heroes akitunukiwa nishani ya mchezaji
bora wa mechi na katibu mkuu wa Rais mstaafu Bwn. Abdallah Makame baada
ya kufunga goli tatu kati ya 7 walizoshinda timu ya Zanzibar Heroes
Katibu Mkuu wa Rais mstaafu Bwn. Abdallah Makame akimkabidhi nahodha
wa timu ya Zanzibar Dedi Luba kombe baada ya kuibuka kidedea cha
kuwababimza Tanzania bara goli 7-1.
Zanzibar wakisherehekea ushindi baada ya mpira kuisha
Picha kibao za BBQ na mechi baadae
إرسال تعليق