Majina yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa ambapo mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na watu kwa wiki tatu tangu kuzinduliwa kwa tuzo hizo.
Haya ndio majina matano yaliyoingia kwenye tano bora:
Mtangazaji wa redio anayependwa TZW1
Dida – Times FM
D’Jaro Arungu – TBC FM
Diva – Clouds FM
Mariam Kitosi – Times FM
Millard Ayo – Clouds FM
Kipindi cha redio kinachopendwa TZW2
Ala za Roho – Clouds FM
Amplifaya – Clouds FM
Hatua Tatu – Times FM
Papaso – TBC FM
XXL – Clouds FM
Mtangazaji wa runinga anayependwa TZW3
Abdallah ‘Dullah’ Ambua – EATV
Salama Jabir – EATV/Maisha Magic
Salim Kikeke – BBC Swahili
Sam Misago – EATV
Zamaradi Mketema – Clouds TV
Kipindi cha runinga kinachopendwa TZW4
Friday Night Live – EATV
In My Shoes – EATV
Mkasi – EATV
Planet Bongo – EATV
Take One – Clouds TV
Mwongozaji wa video anayependwa TZW6
Abby Kazi
Adam Juma
Khalfan
Hanscana
Nisher
Muongozaji wa filamu anayependwa TZW7
Jacob ‘JB’ Stephen
Leah Mwendamsoke
Timothy Conrad
Vincent ‘Ray’ Kigosi
William Mtitu
Mwigizaji wa kike wa filamu anayependwa TZW8
Elizabeth ‘Lulu’ Michael
Irene Uwoya
Jacqueline Wolper
Riyama Ally
Wema Sepetu
Mwigizaji wa kiume wa filamu anayependwa TZW9
Hemedi Suleiman
Jacob ‘JB’ Stephen Mzee
King Majuto
Salim ‘Gabo’ Ahmed
Vincent ‘Ray’ Kigosi
Mwanamuziki wa kike anayependwa TZW10
Lady Jaydee
Linah
Mwasiti
Shilole
Vanessa Mdee
Mwanamuziki wa kiume anayependwa TZW11
Alikiba
Barnaba
Diamond Platnumz
Jux
Ommy Dimpoz
Filamu inayopendwa TZW12
Chausiku
Kigodoro
Madam
Mshale wa Kifo
Sunshine
Video ya muziki inayopendwa TZW13
Akadumba – Nay wa Mitego
Kipi Sijasikia – Profesa Jay
Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz
Wahalade – Barnaba
XO – Joh Makini
إرسال تعليق