YANGA YAIBANJUA 3 - 1 MBEYA CITY TAIFA LEO

Kiungo Mchezeshaji wa timu ya Yanga, Haroun Niyonzima akiangalia kwa kupeleka mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeshinda mchezo huo kwa Bao 3 - 1. Ushindi ambao unazidi kuiweka kileleni na kutwaa Ubingwa wa msimu huu.
 Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akiwatika Mabeki wa Timu ya Mbeya City wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga inaongoza Bao 3 - 1.
 Kipa wa Timu ya Mbeya City, Hanington Kalyesubula akiangalia mpira wavuni huku washabiki wa Yanga wakishangilia ushindi.

Post a Comment

أحدث أقدم