
Hizi zinaweza kuwa picha za kwanza za Staa wa Bongo movie, Aunty Ezekiel akiwa na Mose Iyobo [Dancer wa Diamond Platnumz] pamoja na mtoto wao waliompa jina la Cookie wakiwa nje kwenye matembezi na inaonekana kama walikuwa wakitoka Hospitalini.
Ni miongoni mwa mastaa waliofuatiliwa zaidi mwaka huu
PICHA NA : Sammisago
إرسال تعليق