Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki
wake kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukizingatia yeye ni
mjamzito.
Picha hizi zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii na
wengi wameonyesha kuchukizwa na tabia iliyozuka ya mastaa wa Bongo
kufanya hivi kwa kuwaiga mastaa wa nchi za ughaibuni.


Post a Comment