Hizi Ndio Picha za Aunt Ezekiel zilizowachafua Mashabiki - Zitazame Hapa - Kisha Toa maoni


Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki wake kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukizingatia yeye ni mjamzito.
 
Picha hizi zimekuwa zikisambaa  kwenye mitandao ya kijamii na wengi wameonyesha kuchukizwa na tabia iliyozuka ya mastaa wa Bongo kufanya hivi kwa kuwaiga mastaa wa nchi za ughaibuni.

Post a Comment

أحدث أقدم