HOT NEWZ BOTI YAZAMA NA KUUA WATU 3 PEMBA

Picha Na Maktaba
Habari zilizotufikia usiku huu Watu 3 wamekufa maji baada ya boti yao waliokuwa wamepanda kuzama huko wete ChakeChake mkoani Pemba boti hiyo iliyokuwa na jumla ya watu wapatao 5 ambao ni wavuvi waliokuwa wanakwenda kuvua ikidaiwa kuwa ikakumbwa na hali ya hewa kuchafuka kwa upepo mkali majira ya saa moja za usiku jitihada za kuwaokoa zianendelea  soma Hisia za Mwananchi tutawajuza zaidi
- Mzuka

Post a Comment

أحدث أقدم