Kaa tayari kwa ‘Movement’ mpya ya WBTA na Tanzania mpya!!!


Monika & Us_00000 copyMiongoni mwa viongozi waandamizi wa WBTA, ambao ni mapacha, Frank na Francis (kulia). Kushoto kwao ni mdogo wao, Monica Ntevi.
WBTA
Ni harakati zilizoanzishwa na vijana watatu Frank & Francis Ntevi  na Eben Had, ambao wote ni wanafunzi wanaosoma chuo kikuu UDSM, kwa lengo la kuwanyanyua,  kusapoti wasomi wote wenye moyo na Sanaa.
Kwa sasa wameanzia ndani ya UDSM, ikiwemo wameanza kusaidia kutoa sapoti kwa  UDSM X BAND  kwa kuwatengenezea albamu art kwa kushirikiana na  mwanafunzi mwingine Papushka ambaye naye yupo kwenye harakati hizo kwa kufaanya  video.
Katika haarakati hizo, muunganiko wa wasanii wa chuo kikuu UDSM ALL STARS, wameachia wimbo unaitwa ‘Tanzania mpya’ uliotoka hivi karibuni na pia wapo katika hatua za kutoa video ya wimbo huo.
..Bado haijaanza kupigwa kwenye vituo vya radio kwa sababu wanasubiria video yake kwaza.
“Kwa sasa tunasubiria video hivyo itakapotoka video hivi karibuni ndipo tutakapoachia wimbo huo kwenye vituo mbalimbaali” alieleza Frnacis.
Wimbo huo wa Tanzania mpya umerikodiwa Afrocentrik production ya Ubungo, Mabibo Hostel jijini Dar es Salaam chini ya Producer Davy Machords.
Wimbo huo umetolewa kwa sababu unaelezea kuhusu mtazamo wa Tanzania mpya ikiwemo harakati za kupambana na mauaji ya albino, ufisadi, miundombinu mibovu na matatizo yote ya Tanzania na nama ya Tanzania mpya inatakiwa iwe vipi.
Mtazamo wa Tanzania mpya bila mauaji ya albino, ufisaidi, miundombinu mibovu unyanyapaa, rushwa, na vitu vingi.
Kwa sasa ina wanachama 24 ambao wote ni wanafunzi wa UDSM,  na wanavipaji tofautitofauti ikiwemo wanamuziki, models, watunzi wa filamu, muziki, waigizaji, watunzi  mashahiri,dansa,  Digital Artist.
Aidha, wanatarajia kuelekea kwenye vyuo vyote vya Tanzania kuendeleza movement hii ambapo pia tunatarajia kufanya tamasha moja kubwa wanafunzi wenye ujuzi na sanaa kubwa.
ONE SOCIOLOGIST WBTABaadhi ya  ‘Members’ wa WBTA ..
P Icon JAZZ New
QuizO ARTIST
Renney NOVELIST
Sweesh4Real MUSICIAN
TJ_00000
We Belong To Art
‘WBTA’
It’s a movement initially started by 3 Colleges, Frank Ntevi, Francis Ntevi and Ebenhad Osward based on University of Dar es salaam artists, Generally the movement aimed to reunite, support and ignite the students with passion on Art. On Contrary, the artists (Musicians) based on UDSM, came with an idea to change the whole set perspective about Tanzania and the Optimistic ideal Tanzania
Tanzania Mpya is the title of the song, produced under Afrocentric production, Davy Machord as the Leading Producer. The song featured almost the whole set artists of University of Dar es salaam, Likes of Jo summit, T-Gwan, Nelina, Bobby Ray, Tracy J, Jimmy Mo, Safe, My self, Tomino, Penny, C rex. Regardless of their specialization. The song speaks about the Optimistic about the Future Tanzania, and in the process what should be done. With also on the verge to release track officially, and the Music video under Directorship of Papushka and his team sooner.
Urging Tanzanians to listen to the track and see what the UDSM students thoughts of.
WBTA 2 Logo HD 2
# 5_00000_00000
WBTA season 2_00000
WBTA Tshirt Tangazo_00000
David JUJITSU
TudoR NOVELIST

Post a Comment

Previous Post Next Post