Miongoni mwa viongozi waandamizi wa WBTA, ambao ni mapacha, Frank na Francis (kulia). Kushoto kwao ni mdogo wao, Monica Ntevi.
WBTA
Ni
harakati zilizoanzishwa na vijana watatu Frank & Francis Ntevi na
Eben Had, ambao wote ni wanafunzi wanaosoma chuo kikuu UDSM, kwa lengo
la kuwanyanyua, kusapoti wasomi wote wenye moyo na Sanaa.
Kwa
sasa wameanzia ndani ya UDSM, ikiwemo wameanza kusaidia kutoa sapoti
kwa UDSM X BAND kwa kuwatengenezea albamu art kwa kushirikiana na
mwanafunzi mwingine Papushka ambaye naye yupo kwenye harakati hizo kwa
kufaanya video.
Katika
haarakati hizo, muunganiko wa wasanii wa chuo kikuu UDSM ALL STARS,
wameachia wimbo unaitwa ‘Tanzania mpya’ uliotoka hivi karibuni na pia
wapo katika hatua za kutoa video ya wimbo huo.
..Bado haijaanza kupigwa kwenye vituo vya radio kwa sababu wanasubiria video yake kwaza.
“Kwa
sasa tunasubiria video hivyo itakapotoka video hivi karibuni ndipo
tutakapoachia wimbo huo kwenye vituo mbalimbaali” alieleza Frnacis.
Wimbo
huo wa Tanzania mpya umerikodiwa Afrocentrik production ya Ubungo,
Mabibo Hostel jijini Dar es Salaam chini ya Producer Davy Machords.
Wimbo
huo umetolewa kwa sababu unaelezea kuhusu mtazamo wa Tanzania mpya
ikiwemo harakati za kupambana na mauaji ya albino, ufisadi, miundombinu
mibovu na matatizo yote ya Tanzania na nama ya Tanzania mpya inatakiwa
iwe vipi.
Mtazamo wa Tanzania mpya bila mauaji ya albino, ufisaidi, miundombinu mibovu unyanyapaa, rushwa, na vitu vingi.
Kwa
sasa ina wanachama 24 ambao wote ni wanafunzi wa UDSM, na wanavipaji
tofautitofauti ikiwemo wanamuziki, models, watunzi wa filamu, muziki,
waigizaji, watunzi mashahiri,dansa, Digital Artist.
Aidha,
wanatarajia kuelekea kwenye vyuo vyote vya Tanzania kuendeleza movement
hii ambapo pia tunatarajia kufanya tamasha moja kubwa wanafunzi wenye
ujuzi na sanaa kubwa.
Baadhi ya ‘Members’ wa WBTA ..
We Belong To Art
‘WBTA’
It’s
a movement initially started by 3 Colleges, Frank Ntevi, Francis Ntevi
and Ebenhad Osward based on University of Dar es salaam artists,
Generally the movement aimed to reunite, support and ignite the students
with passion on Art. On Contrary, the artists (Musicians) based on
UDSM, came with an idea to change the whole set perspective about
Tanzania and the Optimistic ideal Tanzania
Tanzania
Mpya is the title of the song, produced under Afrocentric production,
Davy Machord as the Leading Producer. The song featured almost the whole
set artists of University of Dar es salaam, Likes of Jo summit, T-Gwan,
Nelina, Bobby Ray, Tracy J, Jimmy Mo, Safe, My self, Tomino, Penny, C
rex. Regardless of their specialization. The song speaks about the
Optimistic about the Future Tanzania, and in the process what should be
done. With also on the verge to release track officially, and the Music
video under Directorship of Papushka and his team sooner.
Urging Tanzanians to listen to the track and see what the UDSM students thoughts of.
إرسال تعليق