Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Leo.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?
Hisia0
Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
utatapika leo ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia
wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi
wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..
إرسال تعليق