KHADIJA KOPA, DIAMOND, MAKOMANDO, WALTER CHILAMBO KWENYE STAGE YA LOWASSA ARUSHA

DSC_0300
Diamond
MAY 30 2015 Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha ilikuwa siku ambayo Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza rasmi kwamba ataomba kibali cha CCM ili agombee Urais wa TZ mwaka huu.
Baada ya hapo watu wakaigeukia stage ya burudani ambapo ilikuwepo list pia ya mastaa wa Bongo Fleva ambao walipiga show ya nguvu.
DSC_0037
Khadija Kopa
DSC_0037
DSC_0058
Walter Chilambo
DSC_0069
DSC_0072
Huyu jamaa inaonekana aliwaletea shida watu wa Usalama wakawa nae hapa.
DSC_0073
DSC_0085
Makomando
DSC_0089
DSC_0121
Tundaman
DSC_0128
DSC_0135
Wengine nao hawakua mbali.. wenyewe walienjoy show kwa hili pozi juu ya gorofa mtaa wa pembeni ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

PICHA: MILLARDAYO.COM

Post a Comment

Previous Post Next Post