KOCHA WA SIMBA APEWA MASAA 24 KUONDOKA AU KUBAKI

klabu ya Simba imempa masaa 24 kocha wao ,goran kama anataka kubaki au kuondoka kwa mujibu wa mwenyekiti wa ,amati ya usajili Hans pop kutokana timu yao kufanya vibaya  mapato kiduchu pia klabu hiyo imeweafutia wachezaji 3 raia wa uganda pia

Post a Comment

أحدث أقدم