Leo asubuhi msanii kutoka Nairobi Kenya
anajulikana kwa jina la COLONEL MUSTAFA alinitumia ujumbe mfupi kupitia
WhatsApp yangu na kuniambia niwajulishe mashabiki wake wote kuhusu
kuhairishwa kwa video yake mpya ya DODOMA SINGIDA.
“Ningependa
kujulisha mashabiki wangu kuwa video yA DODOMA SINGIDA ambayo ilifaa
kutoka jana tarehe 22/5/2015 itachelewa kidogo kutoka, kutokana na jana
mimi kushikwa na police (CID) kwa makosa ambayo nadaiwa kuwa nilitumia
model ambaye ni mke wa mtu mashuhuri nchini Kenya bila mumewe kujulishwa
kabla ya shooting..kuna madaliko lazima yafanyike ndio video ya dodoma
singida iweze kutoka..Asante na nina wapenda wote”
إرسال تعليق