الصفحة الرئيسيةSOKA Ngassa asaini miaka 4 FREE STATE, Alamba $80,000,Mshahara $5,600, Nyumba Gari Bure Hisia مايو 12, 2015 0 Ni baada Yanga kumshusha thamani.Sasa awa lulu bondeni. Gari atakayopewa ni mpya kabisa BMW made ya S.AFRICA. Kila la kheri NGASSA. My take: Yanga wamuuze na Msuva,otherwise nae ataondoka free mwezi jan.
إرسال تعليق