Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Seif Shariff Hamad ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Ikulu Ndogo, Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana, Jumamosi, Mei 23, 2015 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Seif Shariff Hamad ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Ikulu Ndogo, Dodoma.Picha Juu Rais Kikwete akimwaga Mheshimiwa Hamad baada ya kumalizika kwa kikao hicho.Picha na Freddy Maro-IKULU

Post a Comment

Previous Post Next Post