Jumanne
Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre
akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni
jijini Dar es salaam wakati akizungumzia mashindano ya kuimba Qaswida
yatakayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa
mgeni rasmi akiwa Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.
Bernald Membe.Tamasha hilo litafanyikaMei 25 kuanzia saa saba mchana,
Kulia ni Sheikh Muharami Pembe na kushoto ni Ustaadhi Jumanne Gereza.
Jumanne
Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre
akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wa taasisi hiyo wakizungumza
na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar
es salaam kuhusu Tamasha la Qaswida litakalofanyika Mei 25 kwenye
viwanja vya Sekondari ya Benjamin Wiliam Mkapa Kariakoo.
Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akisisitiza jambo katika mkutano huo.
إرسال تعليق