Ukipita barabarani ni kawaida utakutana
na majina ya magari yaliyozoeleka kama Toyota, BMW, Benz, Scania,
Suzuki, Honda… Hayo yote ni magari ambayo viwanda vyake viko nje ya
Africa.
Lakini ninayo good news kwamba huenda
tukakutana na brand za magari yanayozalishwa hapahapa Afrika na ni
magari ya kifahari kabisa ambayo unaweza kufananisha na Benz na BMW!
Gari hii imetengenezwa Ghana, inaitwa Kantanka 4×4.. pichaz zake kuanzia inavyoanza kutengenezwa mpaka ilivyokamilika ziko hapa.






إرسال تعليق