LIVE:- Na hivi ndivyo utakavyoshuhudia Sherehe za Tuzo za KTMA2015 LIVE popote ulipo..


watch-live-stream
Zimebaki saa chache tu kushuhudia historia nyingine kwenye Industry ya Muziki Tanzania ikiandikwa.. Jana JUNE 12 2015 ulitangazwa utaratibu mpya ambapo tofauti na miaka ya nyuma, safari hii zimetolewa Kadi Maalum za Mwaliko kwa wageni wote watakaoingia pale Ukumbi wa Mlimani City.
Haimaanishi kwamba ulie nyumbani ndio umepitwa, Clouds TV itakuwa ikirusha Live.. lakini pia urahisi mwingine ni huu, kuna hii link hapa ambayo ukiibonyeza itakupa nafasi na wewe kushuhudia LIVE popote ulipo hata kwa kifaa kama simu ya mkononi

Post a Comment

Previous Post Next Post